Jokate amsifia mchoraji aliyechora picha yake



Kupitia instagram yake Jokate amemwagia sifa mchoraji wa picha za watu mlimani city anayefahamika kama Mwakitalu.
Mchoraji huyu kama inavyoonekana kwenye picha na video hio alikuwa akichora picha ya Jokate na watu walipiga picha na kumtumia staa huyu.
“Nimetumiwa na watu wengi picha ya huyu kaka akichora mmoja ya picha zangu Mlimani City. I love young people who are super talented and especially when they use their talents to earn a living or just to express themselves. Ukimaliza huo mchoro nitakuja kuununua. Uwe framed vizuri tu 😍. Keep up the great work dear one”


No comments