Jibu la Tiwa Savage kuhusu taarifa za Ujauzito

Mwimbaji kutoka Nigeria anayefanya kazi na lebo ya JAY-Z Ya Roc Nation Tiwa Savage amekanusha taarifa kuhusu kutarajia kujifungua mtoto wa pili.
Stori hii ilipata umarufu muda mfupi baada ya Tiwa Savage kurudiana na mume wake Teebillz ,
Tiwa anasema “Stori za mimba sio kweli, Nimeongezeka uzito wa furaha tu, naanza kwenda Gym sasa, inachekesha kusikia mtu mwingine anajua kinachoendelea kwenye kizazi cha mtu mwingine”

No comments