Wasanii wa kike wanaohitajika kufanya album ya colabo kama JAYZ Na Kanye West’ Watch The Throne’
Nicki Minaj amethibitisha kuwa kama kuna mpango wa kufanya album ya colabo kama Watch The Throne ya JAY-Z Na Kanye West basi atafanya album hio na Beyonce
Kwenye mahojiano na Jarida la Paper Nicki Minaj amesema “Msanii mwenye kiwango cha kufanya nae album yote ya colabo ni Beyonce, watu wamesema hivi kwa muda mrefu na pia nimefanya nae kazi kama Flawless [remix] na Feeling Myself na tayari tumewahi kufanya show pamoja”.
Mashabiki wangependa sana kuisikia album hii ila sababu wasanii tupo tofauti sana katika kazi na maisha yetu ndio maana itachukua muda kidogo kwa album hii kufanyika.

No comments