VIDEO: Hamisa Mobetto azungumzia kukutana na Diamond Dubai “Diamond ni mzazi mwenzangu” Mrembo Hamisa Mobetto amekaa kwenye Exclusive Interview ya AyoTV na millardayo.com na kueleza kuhusu taarifa zake za kukutana na Diamond Platnumz Dubai, ameongea kila kitu kwenye hii video hapa chini
Reviewed by GJ Chidy
on
November 19, 2017
Rating: 5
No comments