KEVIN HART NA MKEWE ENIKO PARRISH WAFICHUA SURA YA MTOTO WAO WA KIUME

Mchekeshaji Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish waweka mtandaoni picha ya mtoto wao wa kiume ‘Kenzo Kash Hart’ kwa mara ya kwanza ambapo imeonekana kuwa wamekata kiu ya wengi na baadhi wakuionekana kutamani kuona picha zaidi za mtoto huyo.

No comments