WIZKID NA MENEJA WAKE WAPATA MTOTO WA KIUME


Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’, amethibitisha kupata mtoto watatu aliyempatia jina ‘Zion Ayo Balogun’.
Kupitia ukurasa wake wa Twiter, Wizkid mwenye umri wa miaka 27 aliweka ujumbe ulioashiria utambulisho wa jina la mtoto huyo wa tatu wa kiume ambaye amempata kwa meneja wake wa kimataifa ‘Jada Pollock’.
Zion Ayo-Balogun
#Godsblessing !
7:02 PM - Nov 20, 2017
659 1,995
7,731
Wizkid
@wizkidayo
Taarifa za mtoto huyo wa Wizkid zinasema kuwa, Jada Pollock amejifungua siku kadhaa zilizopita nchini Uingereza lakini amekuwa msiri sana juu ya kujifungua kwake mpaka siku ya jana ambayo wizkid aliweka ujumbe wa jina la mwanae.
Hata hivyo Staa Wizkid na maneja wake Jada Pollock walianza kuonekana rasmi kuwa katika mahusiano tangu mwaka jana.

No comments