Wema Sepetu,Ipo siku nitakufa, hakuna anaeishi milele
Kwenye IG Yake Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameweka ujumbe kuhusu KIFO Chake, watakachoongea baada ya kifo na kujutia kuzaliwa.
Wema Sepetu kwenye IG Anasema “Ipo siku nitakufa, hakuna anaeishi milele… Sijui mtaendelea kunisema kwa kejeli na kunitukana matusi ya nguoni au ndo itakuwa, “Maskini ya Mungu, Dada wa watu alikuwa hivi na vile, Mungu ailaze Roho yake mahali pema…” Kuna muda mwingine huwa natamani Allah Subhannah wata’allah anichukue tu… Ya Duniya ni mengi sana…. Kuna muda mwingine nakufuru mwenyezi Mungu na kutamani labda hata nisinge exist… Ila acha niendelee kumtegemea yeye… Kila jambo hutokea kwa sababu…. Hili nalo litapita… I think I need a Time Off Social Media… Kwa mara nyingine Tena…. Siwezi jamani…

No comments