Video Model TUNDA ‘Apple76’ Alivyochanganya watu na Video ya Kichupi Na Bra Tu SnapChat

Baada ya kuwa na tetesi kuwa ana ujauzito, Video Model TUNDA amethibitisha kuwa hana mimba ila ni mabadiliko tu ya mwili wake, akiwa anasikiliza wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hamjui’ aliweka video hii akionyesha muonekano wake akiwa na Kichupi Na Bra Tu katika SnapChat

No comments