BEKA FLAVOUR ANZA KUNYEMELEA MDOGO MDOGO NYAYO ZA ASLAY
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania,Bakari Katuti a.k.a Beka Flavour ameingiza kicha chake cha muziki wake katika mfululizo wa kuachia ngoma moja baada ya ngingine ndani ya muda mithiri ya jinsi anavyoendelea kufanya Aslay.
Beka akiwa ni mkali anayebaki katika masikio ya wengi kwa ngoma ya Libebe na Sikinai, ni miezi miwili tangu amechia rasmi kazi yake aliyomshirikisha mR. Blue ‘Tuwe Sare’ kisha ‘Unanimaliza’ sasa ameachia kazi nyingine inaokwenda kwa jina ‘Sarafina’ wimbo uliofanyika Free Nation, Studio zinazomilikiwa na rapa Nay wa Mitego chini ya utayarishaji wa Awesome.

No comments